105 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 20 Aug 2026
6:54
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Magazetini, tunachambua ombi la upinzani kwa ICC kuchunguza ghasia za kisiasa nchini, huku masuala ya usalama na uwajibikaji yakiendelea kuibua mjadala. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley