
9 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Timu ya taifa ya voliboli ya wanawake, Malkia Strikers, imetishia kuondoka kambini ikidai kutolipwa marupurupu yao. Hali hiyo imeibua maswali kuhusu ustawi wa wachezaji na namna wanavyoshughulikiwa wanapoiwakilisha Kenya. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley