
16 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Kwa nini mtu anayeanza kazi saa tatu au nne, akiwa na muda wa kutosha kujiandaa, bado hujikuta akichelewa? Ni mazoea, uzembe au kujiamini kupita kiasi kwa sababu ya muda? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley