
22 views
Host: Amani Aila Ndugu huyu akiwa kazini, kemikali zilimwagika machoni mwake na kumjeruhi vibaya. Aliambiwa anaelekezwa hospitalini, lakini akagundua alikuwa akipelekwa kwa mganga. Akaamua kumtegemea Mungu. Baadaye, Mungu akamleta daktari aliyemtibu jicho lake, lakini anaamini ni Mungu aliyemponya. Hakika Mungu ni mwaminifu! Producer: Mercy Shirley