
16 views
Madaktari wanafanya tafiti na majaribio ya dawa mpya inayolenga kuchochea ukuaji wa meno mapya, hasa kwa watu waliopoteza meno. Ikiwa utafiti huo utafanikiwa, dawa hiyo inaweza kusaidia mwili kuotesha meno upya badala ya kutegemea meno bandia au vipandikizi.