
32 views
Host: Christine Kambua Dr. Loice anaeleza umuhimu wa uchunguzi wa matiti na kwa nini wanawake hawapaswi kutegemea self-examination pekee. Anaangazia hatua za saratani ya matiti, umuhimu wa kugundua ugonjwa mapema, na upatikanaji wa clinical breast examination katika hospitali za umma. Jitunze, chunguza mapema na chukua hatua kwa wakati. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley