
6 views
Host: Christine Kambua Dr. Loice anasema wanawake wanaweza kupata clinical breast examination katika hospitali za umma bila malipo. Anawahimiza wanawake kutumia huduma hizi na kufanyiwa uchunguzi wa matiti kwa wakati. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley