
14 views
Host: Christine Kambua Dr. Loice anaeleza kuwa saratani ya matiti katika hatua za awali, hasa Stage 1 na 2, inaweza kutibiwa. Katika Stage 3 na 4, matibabu hulenga zaidi kudhibiti ugonjwa, kupunguza makali na kuboresha maisha ya mgonjwa. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura