
14 views
Host: Christine Kambua Dr. Loice anaeleza kuwa uchunguzi wa matiti nyumbani unaweza kuwa muhimu, lakini unaweza usigundue mabadiliko madogo. Anashauri wanawake kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu, ikiwemo ultrasound inapopendekezwa na mtaalamu wa afya, kwa uchunguzi wa kina zaidi. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley