
12 views
Host: Christine Kambua Dr. Loice anasisitiza umuhimu wa kila mwanamke kwenda kufanyiwa uchunguzi wa matiti mara kwa mara. Uchunguzi wa mapema unaweza kusaidia kugundua mabadiliko yasiyo ya kawaida na kuchukua hatua kwa wakati. Usisubiri dalili—fanya breast examination. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley