
38 views
Host: Christine Kambua Mabasi yamepigwa marufuku baada ya abiria kushuka kutoka basi la Tahmeed walilokuwa wakisafiria, wakidaiwa kushambuliwa na kunguni. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu usafi na viwango vya usalama katika usafiri wa umma. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley