
27 views
Host: Christine Kambua Jiamini, jitambue na usiogope kusimama kwa kile unachoamini. Mwanamke anayejiamini anajua thamani yake, anaheshimu uwezo wake na hawezi kuruhusu wengine wamfafanulie yeye ni nani. Zidi kujiamini na kung’aa kwa upekee wako! Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley