
964 views
Host: Chris Kimuya Leo katika Bunge la Maisha Mwananchi Edition, tuko John Saga, Huruma, ambapo wakazi wanatoa maoni yao kuhusu yaliyotokea Homa Bay. Mjadala unajikita katika siasa, matumizi ya vijana, madai ya goons na athari za migawanyiko ya kisiasa kwa wananchi. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley