
43 views
Host: Chris Kimuya Kwenye Bunge la Maisha Mwananchi Edition, wakazi wa John Saga wanasema kwamba Ndindi Nyoro aendelee kumobiliza watu kujiunga na chama chake, wakitaja hatua hiyo kama sehemu ya safari yake ya kisiasa. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley