
49 views
Host: Chris Kimuya Kisa kilichotokea Homa Bay kimeibua hisia kwamba vijana wamekuwa wakibeba mzigo wa migogoro na vurugu za kisiasa. Kauli hiyo inasisitiza haja ya kukataa matumizi ya vijana katika migawanyiko ya kisiasa. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley