
102 views
Host: Chris Kimuya Katika mjadala kuhusu matukio yaliyotokea Kaunti ya Homa Bay, madai yametolewa kwamba waliokuwa nyuma ya ufadhili wa makundi hayo ya vijana ni Babu Owino na timu yake. Hata hivyo, haya ni madai ambayo yanahitaji uthibitisho. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley