
24 views
Host: Chris Kimuya Goons hao walionekana katika Kaunti ya Homa Bay, hali iliyozua maswali kuhusu walichokuwa wakifanya na walikuwa wakihusishwa na nani. Aidha, kauli na namna Peter Kaluma alivyokuwa akizungumza kuhusu suala hilo imeibua madai na hisia kwamba huenda alikuwa na uhusiano na makundi hayo. Hata hivyo, haya ni madai yanayohitaji uthibitisho. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley