
57 views
Host: Chris Kimuya Katika Bunge la Mwananchi, mjadala umeibuka kuhusu Linda Mwananchi na kauli za kukosoa James Orengo, huku madai yakitolewa kwamba makundi ya vijana yalitumiwa kuchochea huruma ya umma. Je, siasa zinapaswa kufikia kiwango hiki? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley