
94 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Tuhuma za makundi ya vijana wanaohusishwa na siasa kutumia vitisho na vurugu zimeibua wasiwasi. Uhuni huu ukizidi, swali linabaki: Nani wa kulaumiwa na nani anapaswa kuwajibika? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley