
62 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Kampeni za kisiasa zinapaswa kujikita katika sera, hoja na rekodi za viongozi, siyo body shaming, matusi au kuwahusisha familia za wapinzani. Tukosoane kwa hoja, si kwa kudhalilishana. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley