
32 views
Anal Cancer (Saratani ya Njia ya Haja Kubwa) ni saratani inayotokea kwenye tishu za eneo la haja kubwa. Dalili zinaweza kujumuisha kutokwa na damu, maumivu, kuwashwa, uvimbe au mabadiliko katika haja kubwa. Baadhi ya visa huhusishwa na HPV. Ukiona dalili zisizo za kawaida, ni muhimu kutafuta ushauri wa daktari mapema. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley