
67 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Makundi ya vijana wanaodaiwa kuhusishwa na siasa yanakabiliwa na tuhuma za vitisho na vurugu dhidi ya upinzani, huku kukiwa na maswali kuhusu hatua zinazochukuliwa dhidi yao. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley