
9 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Jana, Agosti 18, iliadhimishwa kama National Couples Day—siku ya kusherehekea upendo, ushirika na kuthaminiana katika mahusiano. Kwa baadhi ilikuwa nafasi ya kuonyesha mapenzi na kufanya kumbukumbu nzuri, huku wengine wakitafakari safari yao ya kimapenzi. Kwako ilikuwa siku ya aina gani? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley