
20 views
Host: Amani Aila Mama mmoja ameshiriki ushuhuda wa siku mtoto wake alipotea walipokuwa mjini wakifanya shughuli zao. Kwa bahati nzuri, mtoto huyo alipatikana na mtu mwenye moyo mwema, aliyewasiliana na mama yake na kumrudisha mtoto salama. Ni ushuhuda wa kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake na pia kwa watu wenye mioyo ya huruma wanaosaidia wengine wakati wa shida. Producer: Mercy Shirley