63 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 18 Aug 2026
10:58
Bwana Yangu Alikuwa Ananipinga, Kunitesa na Kutuacha bila Chakula. Maisha ya ndoa yaligeuka kuwa changamoto baada ya mwanamke kudai kuwa mume wake alimtesa, kumpinga na kuwaacha yeye pamoja na familia bila chakula.