
51 views
Kesi ya Mauaji ya Tupac Shakur Yaingia Rasmi Mahakamani Baada ya Miaka 30 Baada ya takriban miaka 30 tangu kifo cha Tupac Shakur, kesi ya mauaji yake sasa inaendelea rasmi mahakamani, huku dunia ikisubiri majibu kuhusu ukweli wa tukio lililomnyamazisha mmoja wa wasanii wakubwa wa hip-hop.