15 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 18 Aug 2026
10:07
David anaeleza kuwa moja ya changamoto kubwa inayokabili Nairobi ni uhuni na uwepo wa magenge ya vijana (goons), hali inayoweza kuhatarisha usalama na utulivu wa jiji.