
25 views
Host: Christine Kambua Katika mahojiano haya, Thomas anaeleza kwa kina kuhusu matumizi ya AI, jinsi inavyotumia data kujifunza na kufanya utabiri, pamoja na uwezekano wa kuwa na bias. Anaangazia pia matumizi ya picha na data binafsi na umuhimu wa kupata ridhaa kabla ya kuzitumia. Aidha, anatoa tahadhari kuhusu taarifa potofu na upotoshaji unaoweza kusambazwa kupitia AI, akisisitiza umuhimu wa kutumia teknolojia hii kwa uangalifu na uwajibikaji. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley