
12 views
Host: Christine Kambua Thomas anaeleza kuwa AI hutumia kiasi kikubwa cha data kujifunza na kuboresha uwezo wake. Kadiri inavyopata na kuchanganua data zaidi, ndivyo inavyoweza kufanya utabiri kwa usahihi zaidi. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley