
18 views
Host: Christine Kambua Thomas anaonya kuwa ingawa AI inaweza kusaidia kutabiri mwelekeo wa baadaye, inaweza pia kuzalisha au kusambaza taarifa potofu na upotoshaji. Ni muhimu kuwa makini na kuthibitisha taarifa kabla ya kuziamini au kuzisambaza. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley