
13 views
Host: Christine Kambua Uingereza imepiga marufuku matumizi ya baadhi ya kemikali kwenye bidhaa za kucha kutokana na wasiwasi kuhusu athari zake kwa afya ya uzazi. Hatua hiyo inalenga kulinda watumiaji dhidi ya madhara yanayoweza kujitokeza. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley