
7 views
Host: Christine Kambua Umewahi kupoteza kitu cha thamani kama ID au nyaraka muhimu? Usisubiri mpaka upate shida. Chukua hatua mapema kwa kuripoti upotevu na kupata nyaraka mbadala, ili kuepuka kutumika kwa makosa ambayo si yako. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley