491 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 18 Aug 2026
16:59
Hosts: Okumu na Sakali Ndindi Nyoro ajiunga na Upinzani baada ya kujiondoa UDA. Inaonekana kuwa kuna mass exodus ya wajumbe kutoka Mt Kenya katika chama cha UDA. Hii itaathiri vipi Rais Ruto? Producer: Brenda Obura