
1,097 views
Host: Okumu na Sakali Arsenal wanaendelea kuangalia uwezekano wa kumsajili Bradley Barcola, huku dirisha la usajili likizidi kushika kasi. Je, nyota huyo wa PSG anaweza kuwa sajili mpya ya Arsenal? Tazama video hadi mwisho kwa maelezo zaidi kuhusu kinachoendelea kwenye uhamisho huu. Producer: Brenda Obura