
13 views
Host: Amani Aila Ushuhuda ni sehemu ambapo tunashirikiana matendo makuu ambayo Bwana ametutendea katika maisha yetu. Iwe ni uponyaji, kufunguliwa kwa milango, kujibiwa kwa maombi au kupata nguvu katika nyakati ngumu, ushuhuda wako unaweza kuwa chanzo cha tumaini na kuimarisha imani ya mtu mwingine. Usinyamaze kuhusu wema wa Mungu—simulia alichokutendea! Producer: Mercy Shirley