
22 views
Chai ya Saa Kumi : Je, ni sahihi kuongeza umri wa kisheria kutoka miaka 18 hadi 21? Serikali inazingatia pendekezo la kubadilisha baadhi ya masharti ya kisheria yanayohusu watu wenye umri wa miaka 18, huku mjadala ukiibuka kuhusu iwapo kikomo hicho kinafaa kuongezwa hadi miaka 21.