1,299 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 17 Aug 2026
17:05
Parroty anaamini kwa uhakika kwamba Sifuna ndiye anayetarajiwa kuwa Rais wa Kenya, na kwake hakuna mashaka, mjadala au wasiwasi kuhusu hilo.