102 views
Tuvibe on Radio Maisha
Aired 17 Aug 2026
9:15
Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen amewaonya maafisa wa polisi dhidi ya kujihusisha na shughuli za kisiasa, akiwataka kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kutanguliza usalama wa Wakenya.