
28 views
Host: Christine Kambua Lucas ni mmoja wa wafanyabiashara wa jua kali. Anaeleza changamoto wanazokutana nazo, huku baadhi ya wateja wakiahidi kulipa baada ya kupata huduma au bidhaa, lakini baadaye kushindwa kutimiza ahadi zao. Hali hii huathiri biashara zao na kuwaongezea hasara. Producer: Brenda Obura