
90 views
Host: Kambua Christine Sherehe ya miaka 25 ya safari ya muziki ya Nameless imeonyesha kwa mara nyingine nguvu ya muziki kuunganisha watu. Mashabiki kutoka kila kona walijitokeza kusherehekea msanii huyo na kuonyesha upendo wao kwa muziki wake na mchango wake katika tasnia ya burudani nchini. Producer: Brenda Obura