44 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 17 Aug 2026
7:16
Host: Okumu na Sakali Je, Vision 2060 ni mpango wa kweli wa maendeleo au ni ajenda inayotumiwa kisiasa? Kauli hii imeibua mjadala kuhusu utekelezaji, malengo na mustakabali wa mipango ya maendeleo nchini. Producer: Brenda Obura