
22 views
Host: Jimmy Mambo Karibu kwenye Washa Taa ndani ya Safari, wakati wa kushirikiana Neno la Mungu, kutiana moyo na kuimarishana katika imani. Ushuhuda wako, mstari wako wa Biblia au ujumbe wako unaweza kuwa mwanga kwa mtu anayepitia wakati mgumu. Washa taa yako leo, maana nuru yako inaweza kumulikia mwingine. Producer: Mercy Shirley