
45 views
Host: Kambua Christine Chizi Nation ni gumzo la usiku linalowaleta pamoja Wakenya kushiriki hadithi zao za maisha, mahusiano, changamoto na hisia zao kwa njia ya burudani. Kutoka kucheka hadi kulia, kila mtu ana nafasi ya kuzungumza na kujisikia yuko nyumbani. Producer: Brenda Obura