10 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 14 Aug 2026
2:33
Bodi ya Kitaifa ya Sumu (National Poisons Board) imeonya kuhusu kuwepo kwa dawa bandia za kuzuia mimba nchini Kenya. Wananchi wanashauriwa kuwa waangalifu wanaponunua dawa hizo na kuhakikisha wanazipata kutoka vyanzo halali.