
61 views
Host: Christine Kambua Kifo cha aliyekuwa mwanamuziki wa Ohangla kimezua mjadala baada ya madai kuibuka kuhusu fedha zilizochangwa wakati wa msiba na kiasi ambacho familia imepokea. Wakati mwingine, uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya michango ni muhimu ili kujenga uaminifu na kulinda maslahi ya familia. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley