
6 views
Host: Christine Kambua Graduate mmoja amewagusa wengi mtandaoni baada ya kupeleka keki yake ya graduation kwa mama mboga, akimshirikisha katika furaha ya mafanikio yake. Kitendo hiki kinaonyesha kuwa wakati mwingine ni vizuri kuwa na moyo wa huruma na kujali wengine, kwa sababu huwezi kujua kile ambacho mtu mwingine anapitia. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley