14 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 14 Aug 2026
4:28
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Onyo imetolewa kuhusu P-2 feki zinazouzwa sokoni, huku wananchi wakihimizwa kuwa makini na kuhakikisha dawa wanazonunua ni salama na halali. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley