
544 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Katika mahojiano haya, Defao anafunguka kuhusu maisha yake, siasa, uongozi, changamoto alizopitia na safari yake ya kisiasa, akieleza wazi mambo aliyopitia na mtazamo wake kuhusu uongozi. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley