84 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 14 Aug 2026
3:40
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Defao anazungumzia hali ngumu wanayopitia MCAs, akisema hata ajira katika supermarket zinaweza kuwa nafuu zaidi kutokana na changamoto wanazokumbana nazo. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley