
18 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Zamani viongozi wa kidini walikuwa nguzo ya jamii na waliheshimiwa sana. Leo, uhusiano huo unaonekana kubadilika. Je, jamii imebadilika au viongozi wenyewe wamebadilika? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley